Baadhi ya viongozi wa ngazi ya Juu Katika jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika maandalizi ya mazoezi. |
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro.Fulgence Ngonyani akipokea taarifa fupi toka kwa kiongozi wa kikosi cha kutuliza ghasia. |
Askari Polisi wa vikosi mbalimbali vya jeshi hilo mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika zoezi maalum. |
RPC Ngonyani akiongoza matembezi ya askari Polisi ikiwa ni sehemu ya mazoezi. |
Kikosi cha kutuliza Ghasia ,FFU. |
Matembezi yakiendelea kupita maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi. |
Asakari Polis wakiimba nyimbo katika zoezi hilo. |
Wakati mwingine mchakamchaka ulichukua nafasi. |
Hatimaye mazoezi hayo yakafikia tamati katika viwanja vya Polisi vilivyoko katika ofisi za FFU. |
Baadhi ya viongozi wa jeshi hilo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
2 comments:
haya ni mazoezi ya namna ya kuwaua watanzania wasio na hatia kwa kisingizio cha kulinda amani.wanajifunza kwa maelekezo ya mkuu wa nchi anayemaliza muda wake jumapili tarehe 25 octoba 2015 saa sita usiku,yaani matokeo ya uchaguzi mkuu yatakapokua yanatangazwa.hawa askari kwa maagizo aliyepewa IGP mangu wanalenga shabaha panapokaa moyo wa mtanzania asiye na hatia.wakishaua kwa kuwa wao ndiye watoa taarifa wanasema "marehemu alikua anarushiana risasi na polisi".MUNGU YUPO PAMOJA NA SISI MALOFA.
Mawazo yako ni pumba na upuuzi mtupu.
Post a Comment