Friday, October 23, 2015

EDWARD NGOYAI LOWASSA

13 comments:

Anonymous said...

Moja ya suala linaloitafuna Tanzania ni suala la ufisadi vipi mzee umeshindwa hata kuligusia unataja rushwa ndogo ndogo vipi ufisadi mzee umesau kuwa ndilo lililoifikisha Tanzania hapa ilipo unaogopa kulizungumzia kwanini? Umeshindwa kuwaelezea watanzania vipi utapambana na ufisadi kwanini?

Anonymous said...

Hizi hotuba za kusoma scripts na zilizo kuwa edited over 10 times hatuna mpango nazo. Lowasa halisi ni yule tuliyo msikia katika mahojiano na BBC swahili.
wakati akiwa katika ubora wake, na kuomba "poo" kwa kusema anaonewa..

Anonymous said...

Suala la ufisadi amesema litashughulikiwa vizuri zaidi chini ya utawala bora kumbuka ufisadi mara zote unafanywa na watu walio madarakani.Kwa hiyo hakuna sababu ya kuunda mahakama au tume maalum ya ufisadi.Huko ni kupoteza resources na kuuweka usiku!!.Kama umeshamuelewa Lowasa ni mtu wa vitendo vingi kuliko maneno yaani huyu jamaa ni straight to the point period!!! siyo mtu wa ngonjera au taarabu nyingi za kupendezesha masikioni.Na hiyo ndiyo sifa yake kuu ukilinganisha na wale wasanii wa upande wa pili ambao kila siku maneno mengi,taarabu nyingi na safari zisizoisha na mwisho wa siku matokeo yake wote tunayajua..TUMEGANDA WENZETU WAMETUPITA!!

Anonymous said...

HONGERA MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA KWA HOTUBA YAKO KWA TAIFA ILIYOJAA WELEDI WA HALI YA JUU,ILIYOJAA UKOMAVU WA JUU NA MCHUJO MAKINI KAMA MKUU WA NCHI MTARAJIWA UNAOHUSU MASUALA NYETI YA NCHI.WEWE UNAULIZIA KUWATAMKA MAFISADI AMBAO WAMESHEHENI NDANI YA CCM.MIMI KAMA NITAWAORODHESHA KWA UCHACHE WAPO ALFU TANO.BAADA YA LOWASSA KUCHUKUA NCHI ORODHA HII ITAKUA WAZI NA VITAKABIDHIWA VYOMBO VYA DOLA.KAENI KIMYA CCM,KIAMA CHENU KIMEWADIA.

stanch said...

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada,

Anonymous said...

RUBBISH TO SAY THE LEAST. I THOUGHT HE WILL, FIRST AND FOREMOST CONFESS THE SINS HE COMMTTED WHILE AT CCM#UFISADI WAKE! THIS GUY DOESN'T GET IT, HE WAS ONE OF THEM! GREED IS WHAT PROPELLED HIM TO JUMP OVERNIGHT TO UKAWA! TOO BAD, AND LEST ASSURED HE WON'T WIN THE PRESIDENCY.

Anonymous said...

Lowassa Lowassa

Anonymous said...

Dreamland! A pie in the sky! Maskini kuna mahala anasema nitawasaidia Mataji... Madaktari! Speak your mind. Ukweli alimaanisha matajiri. We get you!

Anonymous said...

Mimi namkubali Lowassa kuwa ni mkweli na sio mtu wa kupayuka.kwasababu siasa ni kuleta maendeleo kwa wananchi sio matusi wala kejeli. Pia nitampigia kura kutokana ataileta katiba ya Warioba ambayo sisi wananchi ndio itatutoa shimoni. Hebu angalia leo mtu unafanya kazi bila mkataba na tajiri anakutuma mambo yasiokuwa ya kikazi lakini utafanya kutokana hutaki kuikosa kazi yako. ndio sawa na wananchi hatuna katiba ndio maana ccm wanafanya watakavyo, na kuiba watakavyo sisi mlo mmoja kazi kuupata yaani mtu unakaa unajiuliza leo nitakula nini tumbo utasema lina chura huku viongozi wanakula milo mitano mpaka vyengine wanavimwaga.nikitakacho mimi ni katiba itakayoleta heshima kwa wananchi na viongizi wakikosea ili tuweze kuwajibisha na kuwa mwisho wa ufisadi.

Anonymous said...

KUNA BWANA MMOJA HAPO JUU AMEANZA KWA KUTUKANA,ANASEMA "RUBBISH".NADHANI FORE-RUNNER RUBBISH NI BABA ALIYEMZAA HUYU MROPOKAJI AMBAYE NI ABSOLUTE STRAIGHT LUNATIC.MWEHU WA MAKOPO.SIKUWEZA HATA KUVUMILIA KUENDEKEA KUZISOMA SHEHENA ZA USHENZI WAKE.TOA HOJA KOMAVU KISTAARABU ILI NA WATU WENGINE WASOMAPO WAELIMIKE NA PENGINE WACHANGIE.KAMA NI UMAARUFU WA MHESHIMIWA LOWASSA UNAKUSUMBUA AKILINI,SI UNUNUE UGORO UBWIE,MSHAMBA WA KUDUMU WEE.PUNK.

Anonymous said...

Lowasa hataiona Ikulu maana hapo siyo mahala pa biashara na biashara yake anayoifanya tunatakiwa kuiogopa kama ukoma.

Unknown said...

Hakuna msafi wote ni mafisadi 2 Mungu ndo anaejua✌✌✌✌

Anonymous said...

Mdau anonymous wa 12:45PM, mimi natofautiana nawe na nakubaliana na anony wa 4:20AM, kwani yeye ana hoja na anauliza kwa nini Lowasa hajaweka hadharani ushiriki wake katika scandal ya Richmond ambayo bado inamkera. Tupo wafuasi wengi wa Lowasa, lakini nasi tunaona watu wengi watasita kumpigia kura leo kutokana na appearance ya yeye kutokuwa muadilifu. Kweli tunahitaji mabadiliko, lakini at what price?Baba yako wewe mwenyewe au baba ya huyo anonynmous wa 4:20 AM unayegombana naye wote wataathirika kama tutamchagua kiongozi mwenye doa na dosari, Jee? atawezaje kuwaambia viongozi atakaowachagua wawe waadilifu kwenye serikali atakayoiunda kama yeye mwenyewe hajakuwa muadilifu to begin with? Give me an educated and justifiable response to such a scenario!