Sunday, October 25, 2015

HABARI NDIYO HII

Sufian Mafoto wa Glob ya mafoto.com akionesha kidole chenye ink baada ya kupiga kura anasema
Nimeshachinja, hapa hakuna cha mita 200 wala nini ni home kusubiri matokeo na kusherehekea, wale wenzangu oyeeeee.

2 comments:

Anonymous said...

Hongera sana.

Anonymous said...

Hongera nyingi na nashukuru sana kuwa mmeitikia wito wa viongozi wetu wa kutowasikiliza wale wahuni waliokuwa wanataka watu wajazane mita 200 nje ya vituo ati kwa kulinda kura ili zisiibiwe. Hawa watu sijui ni watu wa aiana gani wanafikiria kuwa kila Mtanzania ni mwizi kama wao walivyozoea na ufisadi wao. Hata hivyo leo ndiyo leo na asemaya kesho muongo na naamini kabisa kuwa baada ya matokeo kutangazwa tutashuhudia Chadema/Ukawa itakuwa Ukiwa na mwisho wa ndoa ya kujikimu (marriage of convinience).