Sunday, October 25, 2015

HAKUNA KURA ZILIZOKAMATWA

3 comments:

Anonymous said...

Kwa bahati nimeona hicho kijivideo feki kinachodai kutokea hizo purukushani za kukamatwa kwa kura feki. Binafsi haraka haraka niligunduwa kuwa ni feki kwani picha za video zilizotumiwa kufeki ni zile zilizotokea wakati kifo cha yule mwandishi habari kule iringa, David mwangosi kama sijakosea jina. Kwa kweli inavunja moyo kuona kuwa kuna watanzania au watu wangependelea siku kama leo yatokee machafuko Tanzania. Tunaomba mtu au watu waliozusha uzushi huo washughulikiwe mara moja na kufikishwa mbele ya sheria.

Anonymous said...

Hili ndilo tatizo la wanao tapatapa kwani maji yamewafikia shingoni wanataka kudanganya umma kuwa kura zao zimeibiwa na hiyo ndiyo iwe sababu yao ya chokochoko. Wacha vyombo vya dola viwatafute halafu viwapeleke mahakamani na ndiyo itakuwa fundisho kwa chaguzi zijazo.

Anonymous said...

Mateke ya mwisho ya kifo cha ukawa.watalialia kwa mengi,watazusha mengi.