ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 16, 2015

Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe Washington DC

1 comment:

Unknown said...

Hapa muheshimiwa mbowe alijitahidi kuwa makini sana kuwalaghai wanadiaspora na nnaimani alifanikiwa kwa kiasi fulani na hii ni kutokana na baadhi ya misimamo ya wanadiaspora wanavyo ng'ang'ania kukisapoti chama cha chadema licha ya kwamba ukisiliza kwa umakini hutuba yake mr mbowe hapo juu ni vigumu kuamini kuwa ni mbowe huyu huyu aliepigana kufa kupona lakini Edward Lowasa lazima ahamie kwenye chama chake wakati alishasema itakuwa uwenda wazimu kuwaachia walewale wana CCM kuamini yakuwa wataleta mabadiliko. Na akaendelea kusema mabadiliko yanayotakiwa kufanyika nchini ni complete regime change . Kwa maaana ya kwamba yafanyike mabadiliko ya kimapinduzi ya utawala mzima wa nchi na ikiwezekana kuna baadhi ya viongozi wa waandimizi wa CCM itabidi washitakiwe kabla ya kutoroka nchini na namba moja ya baadhi ya viongozi hao wa CCM ambao kina mbowe wakiimba usiku na mchana wafunguliwe mashitaka haraka ni muheshimiwa Edward Lowasa pamoja na sumaye . Mbowe kasema kuwa lowasa ni mwizi na ni miongoni ni viongozi walilolitia taifa hasara kubwa. Dk Slaa baada ya kukiri kuwa hawezi kula matapishi yake kaamua kukimbia chadema ni mtu wa mungu agalau kathibitisha utumishi wake mbele ya mungu na bwana yesu asifiwe.amen. Dr slaa anakiri kukataa milioni mitano alizopelekewa na Lowasa kuzibwa mdomo ili waizuie riport ya tume ya muheshimiwa mwakyembe inayohusu upotevu wa fedha za Richmond ili isiwakilishwe bungeni na kwa uadilifu wa Dr slaa tunaamini kwa asilimia mia moja anachokisema Dr Slaa ni kweli kabisa. Sasa regime change gani mr mbowe anayizungumza ya kuwachukuwa watu wale wale wa CCM tena wenye record za kutisha za ubadhirifu wa fedha za watanzania kuwapa nafasi ya kugombea nafasi ya juu ya nchi yetu? Hapo utaona yakuwa mbowe ni tapeli na kama kuna watu wanamuunga mkono nao ni matapeli wanaojitapeli wao wenyewe binafsi, wakati wakijua kuwa mtu au chama wanachokisapoti hakina nia hasa yakuleta mabadiliko ya kweli nchini Tanzania bali ni ulaghi wa viongozi hao wa upizani wa kutafuta njia ya kukimbilia ikulu na wakifika kule kama uhai upo basi watanzania watajua ya kwamba wameuza nchi kwa wasiofaa kwa thanani ya maneno matupu mungu bariki nnaimani hawatafika huko ikulu kwani watanzania si wapumbavu kiasi hicho wanadiaspora tunayofikiria yule mbowe alikuja huku kututapeli wanadiaspora.