Advertisements

Monday, October 12, 2015

LOWASSA ATISHA MWANZA WENGI WAZIMIA

 Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwaaga wananchi wa Jiji la Mwanza, mara baada ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.
 Watu wa huduma ya kwanza wa kikosi cha Msalaba Mwekundu, wakiwasaidia wananchi mbali mbali waliopoteza fahamu kutokana na kukosa hewa, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015. 
 Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.
 Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Juma Duni Haji, akiwahutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015. 
Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, akihutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015. 

7 comments:

Anonymous said...

Kazi kweli kweli mwaka huu sijui waibeje ccm dah! Nyomi mpaka basi toeni tu kiungwana serilikali tuone mageuzi ya kweli kubalini kama mumeshindwa jaribuni tena mbeleni .Mungu idumishe amani na inatokea tz na watu wake lkn jamaa anatisha si mchezo

Anonymous said...

Nyomi ni nini? Akiwa CCM alikuwa na nyomi vilex2 ,werevu wakamkata, na tarehe 25/10 watanzania wengi wanaojielewa watamkata vilevile.

Anonymous said...

CCM hawaibi ila wataingi Ikulu kwa uhakika na haki tupu.

Anonymous said...

Jamaaa anakutisha wewe mimi wala hanitishi,,, swala ni waliopo hapo wamejiandikisha kwani nyomi kitu gani,, kuna wanakuja hapo ili wamuone tu lowasa yukoje wala sio wapiga kuraaa, Amani tele Tanzania na itadumu milele,,

Anonymous said...

Thubutuuu...mtaisoma namba
Huu mwaka wa Mmasaii..
Peeeopleeeezzzzzz....!!!

Anonymous said...

������hii sio ile fiesta shoo yenu ya bure.
HAPA SERA TUU......
Mtaisoma namba 2015 masai 4change
Toka dc to AL
From mwanza To Magogoni

Anonymous said...

Ikulu ni Magufuli tu bwana. Wengine mtaongea tu. Hata hivyo mtakaribishwa Ikulu kama Watalii mkitaka.