Advertisements

Thursday, October 22, 2015

Mahojiano ya Edward Lowassa na BBC DIRA TV

14 comments:

Anonymous said...

Mzee anasema akishindwa anakwenda kuchunga ng'ombe wake hii inaonyesha ni jinsi gani mzee lowasa alivyokuwa hana malengo na chadema na ukawa isipokuwa ni daraja mpito analolitumia kukidhi haja yake ya uchu wa kuingia ikulu. Na kwa interview hii niliyoishuhudia kutoka kwa muheshimiwa Lowasa ni hatari. Lowasa anaonekana dhaifu hata kuzungumza kwa taabu yaani hata hao ng'ombe anaosema ataenda kuchunga kwa afya ile alinayo kwa kweli ni utani tu . Kwa kweli mtangazaji katuulizia masuala yetu tuliyokuwa tunaka kumuliza muheshimiwa Lowasa na tulikuwa na kiu ya kusikia majibu mazuri kutoka kwa muheshimiwa Lowasa lakini tulichokisikia na kukiona kutoka kwa muheshimiwa Lowasa ni aibu tupu kwa kweli sioni lowasa wa kuingoza Tanzania katika changamoto zilizokuwepo sasa nathubutu kusema kama watanzania watafanya makosa ya kumchagua kama raisi wao yatakuwa ni maafa makubwa.

Anonymous said...

jamani huyu mzee anatia aibu!!!! huwezi kuamini kama alishawahi kuwa waziri hana substance, maswali yanamshindwa na kujikanyaga. halafu anaongea uongo wa kupitiliza. shule za kata zilianza wakati wa Benjamin mkapa chini ya waziri mungai wa elimu. unasema nipeni kura bila sera,kilaza kweli nenda nyumbani kajiuguze mzee hata kupumua sana. mwalimu alisema ccm ni kama gari la taka lilibeba kila uchafu na sasa uchafu huo uko ukawa.

Anonymous said...

Amakweli "ukipenda chongo utaona kengeza".Hii ni aibu,still kuna watu wanapigania huyu mzee aiongoze nchi!

Anonymous said...

Najua watanzania wamechoka na wanataka mabadiliko lakini haya mabadiliko niliyo yaona hapa ni hatari tupu. Huyu mzee ameshindwa kujibu hata swali moja. Mwandishi kauliza mwaswali ya msingi ambayo watanzania wanao mshabikia wangepapswa kuuliza. Mzee amechoka, hata kuhema ni shida. Watanzania please, please hata mimi nataka mabadilko lakini mstuletee huyu mtu. Siwezi kutabiri uzima wa mtu yeyote lakini ninalo liona hapa huyu mzee anataka kufa akiwa Rais. Hana plan yoyote ya kuwasaidia Watanzania. Hii ni legacy yake na pengine kuwakomoa CCM. Hii ni hatari, nchi inaelekea shimoni. Sitashangaa akishinda kwani kuna mamilioni ya watanzania wanaamini atakuja kuwagawia sehemu ya utajiri wake kwani anauchukia umasikini.

Anonymous said...

Attention January Makamba: Kama kweli CCM mnazo strategies za kushinda basi sambazeni video ya hii interview ya lowasa kwenye vituo vyote vya TV na mitandao ya kijamii yote. Sidhani watu wanaoenda kwenye mafuriko yake walisha hata muuliza maswali kama haya. Hata kama tumechoka chama tawala hapana, let us think twice. Mtu yeyote mwenye upeo japo kidogo tu atajua huyu mwana madiliko toka CCM hana sera yoyote ni usanii mtupu. Watu wa namna hufanikiwa na malengo yao. Pole Watanzania wenzangu.

Anonymous said...

Haya yote hapo juu ni maoni ya mtu mmoja mwenye chuki. Hakichaguliwi fisiem hata nani aje. Niko tayari kulipigia jiwe kura lakini sio nyie waizi. Mmetudanganya mpaka mmechoka wenyewe. Ni zamu yenu kupunzika na sijui mtaenda kuiba wapi tena. Hilo jembe letu hapo juu lipo tayari kuja kuwalima baada ya Octoba 25.

Kabura Travel & Tours said...

That is your opinion anonymous. LOWASSA is the people's person and he is going to win this election .

Anonymous said...

is ukawa's person, Tanzanians not stupidity like you think. ukawa might be stupidity based of bribes received from this guy, so sad interview. never see something like that real shame.

Anonymous said...

Hatari kweli kweli. Yaani gesi iko chini ya bahari hata wawekezaji hawajaamua kujenga mtambo wa kuitoa huko na wakiamua itachukua miaka Saba kukamilisha ujenzi yeye anasema italipia Elimu! Alipokumbushwa ni mapema mno kuhusu gesi anasema tutakopa against reserves kama Ghana. Mzee hajui Ghana wako pabaya kiuchumi kwa kukopa mtindo anaoshauri. Halafu mashangingi mangapi ndiyo yatalipia Elimu! He is jocking! Hana sera ila ya kuingiza tu Ikulu. Very sad!

Anonymous said...

That's insane; only lunatics can look forward to a day that will never come! No time to waste; let's talk five days or so from today.

Anonymous said...

Kuwa a person of the people sio kigezo cha raisi tunaemuhitaji kwa sasa . tunataka raisi muadilifu,muamininifu,mfatiaji,asie na makundi na mwenye uwezo wa kukemea rushwa ya ngazi zote.

Anonymous said...

There is no way he is going to win the elections. Magufuli is the only candidate qualified for presidential portfolio. After all Magufuli and CCM are the peoples' choice.

Anonymous said...

Ufisadi swali gumu? Akili ya mwenzako ongeza na ya kwako!

Anonymous said...

Ndiyo maana Watanzania wanamchagua Magufuli.