Advertisements

Friday, October 2, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA KUKUZA BIASHARA YA UTALII YA SWAHILI (SITE) JIJINI DAR.

:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Kilimanjaro Tourism & Fair (Kilifair), Tom Kunkler, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
:- Makamu wa Rais wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kufungua rasmi maonesho ya Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam
::- Kikundi cha burudani kikitoa burudani ukumbini humo.
:- Sehemu ya washiriki waliohudhuria ufunguzi wa mkutano huo kwenye ukumbi wa Mliman City, leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhem Meru, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea katika Banda la India, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea katika Banda la Hifadhi za Taifa Tanzania, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

No comments: