ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 4, 2015

MDAU WA VIJIMAMBO AKIWA KIJIJI KWAO MKATAA KWAO MTUMWA

 Ustadh Maftah  wa New York akiwa Kilwa aliturushia hii kuonyesha kuwa mkataa kwao ni mtubwa hapa Ustadh Mafutah akiwa na shangazi yake Zureha bint Maftah wakielekea kisiwani kutoka Kilwa masoko Lindi.

 Hii ni ramani ya kisiwani, kisiwa hiki ni maarufu sana katika karne ya 9 kilikuwa kina milikiwa na sultan Ali bin Al-Hasan hapa ndipo palikuwa makazi yake katika karne hiyo ya 9 hadi karne ya 15.  Alijenga Msikiti mkubwa sana na alifanya kituo kikubwa cha kubairishia watumwa na kuwasafirisha kwenda mataifa yambali na uku akipata madini ya chuma na dhahabu. Ukitaka kujua  history zaidi juu ya kisiwani  hapa jitiririshe hapa chini. http://www.utalii.com/Off_the_normal_path/kilwa.htm
 Moja ya makumbusho yanayopatika kisiwani hapo
Ustadh Maftah kutoka New York akijidai nyumbani kwao kiroho safi na huku akipitia mambo yanayojiri  siku hadi ndani ya blog ya jamii Vijimambo.

No comments: