Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib akiwasili katika viwanja vya Vuga Zanzibar kwa ajili ya kuendelea na Kampeni zake za kugombea Urais wa Zanzibar.
Wanachama wa Chama cha TADEA Zanzibar wakimshangilia Mgombea wao wakati akiwasili katika viwanja vya Vuga kwa ajili ya kuaza Kampeni yake katika Jimbo la Malindi Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib akiwa na viongozi wa Chama hicho wakati wa mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya vuga Zanzibar.
Katibu Mwenezi wa TADEA Zanzibar Mhe Rashid Mshenga akihutubia wakati wa mkutano huo wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya kalcha vuga.akitangaza Sera za Chama Chake kwa wananchi wa Mji Mkongwe Jimbo la Malindi Zanzibar.v
Mgombea wa Urais wa TADEA Mhe Juma Ali Khatib akiwa na mgombea wa Ubunge Jimbo la Malindi Zanzibar Rashid Said Suleiman.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib, akiwahutubia Wananchi wa Mji Mkongwe wakati wa mkutano wake wa Kampeni ya kuomba ridhaa za Wananchi kumchugua kuiongoza Zanzibar.
2 comments:
Hiki chama Hawkins hata mjumbe wa nyumba 10 kimepataje usajili wake..???? Yaani ni kupotezeana muda tu hapo kwa wale njaa kali na kuwasumbua watoto na hayo mashuka kwenye mijiti kwa kugeuza kuwa ndio bendera... Kaaaaaaaazi kweli kweli yaani hata MZEE wa PIGA BOX angepata wafuasi tele tu kama angekuwa ndiye mgombea wa hiki chama majangaππππππ... Samahani lakini sio kwa nia mbaya Mkuu SALEHππππππ
MZEE MAKOMBOLA@Meli 7
Kwa idadi hiyo ya nyomi, mimi ninge call it a day nisubiri 2020.
Post a Comment