ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 12, 2015

Miaka 53 ya mafanikio: Awamu ya Nne - Jakaya Kikwete

7 comments:

Anonymous said...

Angalia jinsi uchumi ulivyoporomoka hata majirani zetu wanatushinda.

1 US Dollar = 2,174.40 Tanzanian Shilling
1 US Dollar = 103.09 Kenyan Shilling
1 US Dollar = 736.03 Rwandan Franc
1 US Dollar = 553.22 Malawian Kwacha

Source: google.com


msikubali kupelekwapelekwa tu ati kwa sababu ya kuchumia tumbo...


Anonymous said...

CCM bwana eti miaka 53 ya mafanikio dah hawaoni hata aibu

Anonymous said...

What a childish drama this is.....watoto wadogo (0-10 yrs) ndio uwapelekee haya mafanikio

Anonymous said...

Kila kukicha lazima viongozibwaje na maneno ya kulaghai tunachoka kusoma habari hewa. Mara gesi, umeme, neema, mgawo wa frdha, tutashinda tu!! Hivi wanachi si wanaaona wenyewe! Hivi kweli imefikia mahali mlaji anunue sukari kilo moja tsh. 2600 wakati viwanza viko hapahapa Tanzania. Kwa nini tuagiziwe sukaari!! Tumechoshwa..

Anonymous said...

Thamani ya pesa ya nchi husika kulinganisha na thamani ya dollar sio kipimo hata kidogo kwamba nchi yenye pesa thamani yake karibu na ya dollar ndio yenye uchumi mzuri, China ni nchi ya pili kwa uchumi duniani wengine wanasema ni ya kwanza nani anajuwa wachina sio watu wa propanda na masifa kama marekani, lakini thamani ya pesa ya china inadhidiwa na thamani na nchi nyingi ambazo uchumi wao hata iwe vipi hauwezi ukaukaribia uchumi wa china. Tanzania ni nchi yenye malengo makini ya maendeleo kwa sababu sisi tunahitaji kuuza bizaa zetu men, tena kwa faida na kulidhibiti soko letu la ndani kwa hivyo utaona sisi tunaouwezo kutoa bidhaa Tanzania ukapeleka kenya tukapata faida kubwa lakini kutoa bidhaa kenya kuuza Tanzania inakuwa kazi kwa hivyo kama Tanzania tungekuwa na viwanda na bidhaa za kutosha basi tunamasoko ya kutosha kabisa na kutengeneza ajira za kumwaga na hili hasa ndilo bao la mkono mchina alilowafungia wenzake hadi kufika pale alipo sasa, kiasi kwamba moja ya ugomvi wa Marekani na mchina ni thamani ya pesa ya China, mmarekani anamtaka mchina lazima aongeze thamani ya pesa yake mchina anasema bado na kwa kweli mmarekani anaasirika kiabashara kwa sababu hawezi akauza bidhaa zake kwa faida kama mchina anavyofaidka anapouza bizaa zake marekani.

Anonymous said...

yup back in the days shillingi was higher than kwacha but naona wametupiga overtake��

Anonymous said...

CCM Ikulu tena mwaka huu.