Tunapenda kuwataarifu kuwa ibada ya kumuombea marehemu kaka yetu Raymond Malima itakuwa leo jumapili Oct/11/2015, saa kumi na mbili jioni (6:00pm) katika address ifuatayo:
14428 Bradshaw Dr, Silver Spring MD 20905.
Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina la Bwana libarikiwe.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Grace Meela 301-520-6303
Jacque Korassa - 240-706-6831
Aunty Lilly-301- 879-8104
Kija Lupemba 240-353-1148
“I shall go to him, but he shall not return to me.”
2 Samwel 12:15-23
No comments:
Post a Comment