Advertisements

Monday, October 5, 2015

PINDA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA NHC KATAVI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba za walimu katika Shule ya msingi ya kakuni unaofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika kijiji cha kibaoni mkoani Katavi Septemba 5, 2015. Kushoto ni Mkuu wa mkoa huo Dkt. Ibrahim Msengi na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Askofu wa Jimbo katoliki la Mpanda, Gervas Nyaisonga kwenye Makazi ya Askofu huyo mjini Mpanda Septemba 5, 2015.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu wakati alipokagua ujenzi wa nyumba za Shirika hilo mjiniMpanda Septemba 5, 2015.Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Msengi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba za walimu katika Shule ya msingi ya kakuni unaofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika kijiji cha kibaoni mkoani Katavi Septemba 5, 2015. Kulia ni Mkuu wa mkoa huo Dkt. Ibrahim Msengi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu.

No comments: