.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,na Rais wa Awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa wakikata utepe kufungua rasmi la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo. (picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi ufunguo wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa ya The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe kama ishara ya kuikabidhi Wizara ya Afya hospitali hiyo leo wakati wa hafla ya ufunguzi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la Msingi katika jengo jipya la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo.Kushoto ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa, na Katikati ni Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwajulia hali baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika hospitali mpya ya The Benjamin Mkapa UltraModern Hospital mjini Dodoma leo

3 comments:
Hilo jina la hospital
Nimelipenda sana sana
Tena Dodoma
Fursa sawa miguu ya mbu mbona haonekani siku hizi
Au ndo anapeleka chakula kwa ex lupango
Hakuna kilichofanyika tangu tupate uhuru? Kauli nyengine ni dharau kwa watanzania kwani ni kuwafanya ni watu wajinga unaoweza kuwadanganya kwa kuwapa gunia la mchanga na kuwaaminisha kuwa hiyo ni sukari mchana kweupe .
Kwa kweli hakukuwahi kutokea campaign za kuwalahi na kuupotosha umma wa watanzania zinafanywa na wapinzani kama mara hii.
Post a Comment