ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 13, 2015

DEDA'S COUTURE-BY 3 FASHION WEEK WINSTON-SALEM NORTHCAROLINA YAFANA

 Miss Teddy na Flora Wakiwa kwenye vivazi kwenye Deda's by 3 Fashion week iliyofanyika mji wa Winston Salem Jimbo la North Carolina.
Kutoka kushoto ni  Flora, Talkia na Teddy ambao ndio wamiliki wa Deda's Couture By-3
Walimbwende wa vivazi wakionyesha vivazi siku ya Deda's by 3 Fashion week iliyofanyika mji wa Winston Salem Jimbo la North Carolina.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Miss Teddy na Flora wakiwa na vivazi vyao mbele ya mashabiki.
Ukodak Moment.
Picha ya pamoja
 Bi Zainab
 Bibie Teddy
 From Left Teddy, Nikita Wallace (Organizer of WS Show Time) and Flora



 DJ "B" alikuwa ndani ya nyumba akiburudisha

No comments: