ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 16, 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BANDARI YA MBEGANI BAGAMOYO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi kutoka Usultani wa Oman Hon.Dr.Ahmed Mohamed Al Furaisi na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya China Merchants Group Dkt. Hu Jianhua wakichanganya kokoto kuzindua rasmi ujenzi wa Bandari ya Mbegani iliyopo wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani leo.Bandari hiyo kubwa inajengwa kwa ubia kati ya serikali ya Tanzania, China na Oman(picha na Freddy Maro).

No comments: