Advertisements

Saturday, October 10, 2015

SOMA HAPA TAARIFA KUHUSU RIPOTI YA UKAGUZI WA MANUNUZI YA UMMA

3 comments:

Anonymous said...

Mmiliki wa gazeti la Mtanzania ni Rostam Aziz na inasemekana Lowasa ni miongoni mwa wanahisa wa gazeti hilo sasa wanaoshangaa gazeti hilo kuandika habari za uongo za kumchafua magufuli ni wale wasio lijua hilo gazeti chanzo chake yaani gazeti linalomilikiwa na mafisadi Tanzania.

Anonymous said...

Nashangaa kwa nini vyombo husika haviwachukulia hatua kali wale wote wanaopenda kuwapotosha wananchi kwa kuandika habari ambazo si sahihi! Nadhani watu au vyombo vya habari vyenye kueneza habari ambazo si sahihi zikianza kupelekwa mahakamani kujitetea na kujikuta zinaadhibiwa zikikutwa na makosa itajuwa fundisho kubwa. Ndiyo, tunataka vyombo hivi vitujuvye lakini kwa habari sahihi ambazo zimefanyiwa utafiti au ufafanuzi pale unapohitajika kabla ya kuchapishwa au kusambazwa kwa wananchi.