ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 28, 2015

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UHAMISHO WA BALOZI KALAGHE


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Coat of Arms
Simu: 255-22-2114615, 211906-12
Barua pepe: nje@nje.go.tz
Barua pepe: gcu@nje.go.tz

Nukushi: 255-22-2116600

              

               20 KIVUKONI FRONT,
                          P.O. BOX 9000,
                 11466 DAR ES SALAAM,  
                                   Tanzania.


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemuhamisha kituo Balozi Peter A. Kallaghe aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil.

Uhamisho huo unaanzia tarehe 23 Oktoba, 2015.

Imetolewa na:

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, 
Dar es Salaam
28 Oktoba, 2015

No comments: