ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 21, 2015

TAMWA YAWABADILISHA FIKRA WANAHABARI KANDA YA ZIWA

Mshindi wa Tuzo ya Mama Shujaa mwaka 2011 inayotolewa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kwa Mwanamke anaepambana na Ukatili wa Kijinsia Bi.Joyce Maimuna Amina Kanyamala ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mikonoyetu la Jijini Mwanza akiwasilisha Mada katika Semina kwa Wanahabari kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa juu Vyombo vya Habari na Uchaguzi iliyoandaliwa na Chama cha cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA-Tanzania Media Women Association). 

Semina hiyo ilianza juzi Octoba 19 na inatarajiwa kufikia tamati hii leo Octoba 21 Jijini Mwanza.

Zaidi Mama Kanyamala aliwakumbusha wanahabari kuripoti na Kuandika habari za uchaguzi mkuu kwa ulinganifu sawa kwa kuzingatia Usawa wa Kijinsia.

Washiriki wa Semina hiyo (Wanahabari) waliahidi kutimiza majukumu yao ipasavyo ikiwa ni pamoja na kuripoti habari za uchaguzi pamoja na nyinginezo nyingi kwa kuzingatia usawa baina ya wanaume na wanawake.
Mshindi wa Tuzo ya Mama Shujaa kwa Mwaka 2014 bi.Joyce Stephano akitoa ushuhuda wake kwa Wanahabari namna alivyopitia ukatili wa Kijinsia na namna alivyopambana nao na hatimae kuwasaidia wahanga wengine wa ukatili huo
Mshindi wa Tuzo ya Mama Shujaa kwa Mwaka 2014 bi.Joyce Stephano (Kulia) akitoa ushuhuda wake kwa Wanahabari namna alivyopitia ukatili wa Kijinsia na namna alivyopambana nao na hatimae kuwasaidia wahanga wengine wa ukatili huo
Mshindi wa Tuzo ya Mama Shujaa kwa Mwaka 2014 bi.Joyce Stephano akitoa ushuhuda wake kwa Wanahabari namna alivyopitia ukatili wa Kijinsia na namna alivyopambana nao na hatimae kuwasaidia wahanga wengine wa ukatili huo
Semina ikiendelea
Kushoto ni Godfrida Jola ambae ni Afisa Miradi TAMWA akiwa pamoja na Leonida Kanyuma ambae ni Afisa Habari TAMWA 
Wawezeshaji wa Semina
Mshiriki wa Semina
Washiriki wa Semina
Washiriki wa Semina
Washiriki wa Semina
Lunch Time
Lunch Time
Lunch Time
Lunch Time
Lunch Time
Lunch Time
Lunch Time
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments: