ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 8, 2015

TIMU BAJAJI YATIKISA KAHAMA


Team Bajaji ambao wanazunguuka nchi nzima kwa Bajaji Jana walikua kahama wakizungumza na vijana wa Soko kuu la kahama na badae kuungana na Kishimba mgombea Ubunge wa Jimbo la Kahama Mjini kupitia CCM.


2 comments:

Anonymous said...

Njaa hiyo

Anonymous said...

Kwani hao boda boda mnaowakodi siyo njaa nao inawasumbua? Angalau wako kazini. Acheni kila mmoja apate mlo kwa jasho lake.