TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR YAFUTA UCHAGUZI WA ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza kufutwa kwa uchaguzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mpaka hapo itakapotangazwa tena.
1 comment:
Anonymous
said...
MHESHIMIWA JECHA,MAAMUZI ULIYOYAFANYA PEKE YAKO,BINAFSI YA KUUFUTA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR NI MAAMUZI MAZITO NA YA HATARI.NAOMBA UNISAIDIE,MAMLAKA HAYO UMEYATOA WAPI?REJEA KWENYE KATIBA YA ZANZIBAR NA SHERIA ZINAZOHUSU UCHAGUZI.NITAJIE KIFUNGU/VIFUNGU.PILI TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR INAUNDWA NA WAJUMBE WA TUME AMBAO WANAPASWA KUWEMO KWENYE MASHAURIANO NA UAMUZI.JEE ILKUAJE UJIAMULIE MWENYEWE JAMBO HILO ZITO? TATU AU ULIPATA SHINIKIZO NJE YA UWEZO NA UTASHI WAKO UKIAMUA KUJIVUNJIA HESHIMA KWA JAMII YA NDANI NA YA KIMATAIFA?NNE JEE UNAJUA AU ULILIPIGIA HESABU GHARAMA YA KURUDIA UCHAGUZI ZANZIBAR? TANO JEE UNAJUA WAFADHILI WA KIMATAIFA WALICHANGIA KWA KIWANGO KIKUBWA GHARAMA ZA UCHAGUZI ZANZIBAR? NA,SITA:JEE IKIBAINIKA KUWA UMEFANYA KOSA KUBWA LA JINAI,UKASHTAKIWA.HUJUI KWAMBA ADHABU YAKE NI KIFUNGO CHA MUDA MREFU JELA BILA FAINI.UTAFUNGWA MZEE JECHA.

Post a Comment