Tuesday, October 27, 2015

TUME YA UCHAGUZI YATOA MATOKEO YA AWAMU YA NNE KWA MAJIMBO YA UCHAGUZI KWA NGAZI YA URAIS LEO ASUBUHI



































3 comments:

Anonymous said...

Mazezeta wa Fisadi Lowasa mbona hawabwabwaji tena? Niliwaambia watanyamaza tu baada ya October 25. Katika mataifa ya magharibi mwanasiasa anapoteza sifa za uongozi kwa kashfa hata ya uzinzi tu, lakini Waafrika wa Tanzania wasiojitambua wanadiriki kumkumbatia mtu mwenye kashfa ya ufisadi. Ni utaahira ulioje huu?

Hongereni kwenu Watanzania wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu kwa kusimama kidete kupigania maslahi mapana ya taifa letu na kutunusuru na aibu kubwa ya kumfanya fisi kuwa mchungaji wa mbuzi na kondoo wetu.

Anonymous said...

Nipo nawe mdau wa 6:32AM. Bwana Lowassa alikuwa akiwanunua vijana kujaza mikutano yake na kuleta impression kwamba anapendwa na kuaminiwa sana na Watanzania. Alidhani Watanzania hawana akili kuutambua uongo na ufisadi wake. Watanzania hawakumwonea, bali wamemfundisha adabu, and therefore, so it is about time for the so-called UKAWA?CHADEMA? to SHUT UP!

Anonymous said...

Ndugu zangu mmeongea kila kitu wala sioni la kuongezea. #Hapa Kazi Tu.