Mwanafunzi wa shule ya Sekondari
Azania ya jijini Dar-es-Salaam akizima moto kwa kutumia kizimia moto cha aina
ya dry powder baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka
Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Ilala.
Wanafunzi wa shule ya Secondari
Azania ya jijini Dar-es-Salaam wakizimamoto kwa kutumia blanketi ya kuzimia
moto baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Ilala jana tarehe 15 Oct, 15.
‘’Tayari tumeuzima’’ walisikika
wanafunzi wa shule ya Sekondari Azania jijini Dar-es-Salaam baada ya kufanikiwa
kuuzima moto kwa kuufunika kwa kutumia blanketi maalumu, huku wakishangiliwa
mafunzo hayo utolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini bila malipo yoyote.
(Picha
na FC Godfrey Peter).
No comments:
Post a Comment