Sunday, October 25, 2015

WATU WAMESHAANZA KUPANGA FOLENI TAYARI KWA KUTAKA KUPIGA KURA


Kituo cha Magomeni mapipa kata ya Suna wananchi wamisha anza kujipanga ili wapige kula kumchagua kiongozi wanaeamini kuwa anaweza kuwaongoza na kuwaletea maendeleo.


Msimamizi wa kituo cha upigaji kura akielekeza wananchi wapi wajipange ili wapige kura zao kwa utaratibu uliopangwa.

Habari ndiyo hii

Mwananchi akitafakari kura yake aipeleke wapi

Mmoja wa wasimamizi wa kituo cha kupigia kura kata ya Suna Magomeni mapipa hii ni live bila chenga.

No comments: