Sunday, October 25, 2015

WATU WAMESHAANZA KUPIGA KURA SAA MOJA ASUBUHI KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI


 Hapa wananchi wakihakiki majina yao kwenye ubao wa kuhakiki  majina hili kupata fursa ya kupiga kura
Hapa ni karatasi ya upigaji kura kuanzia ya urais ubunge na udiwani baada ya kuhakiki jina lako unakuja hapa na kukabiziwa karatasi hizi tatu ili kukamirisha  zoezi zima na upigaji kura.
 Mwanachi akiakiki jina lake kwenye ubao wa majina ya wapigaji kura kituoni hapo

Mabox ma 3 ya kupigia kura kuanzia uraisi ubunge na udiwani.

2 comments:

Anonymous said...

Mtu kisha anza kuchagua makatibu wakuu only some hours left
Magufuli una Kazi pole sana

Anonymous said...

Magufuli siyo lazima arithi makatibu waliochaguliwa, ana haki kabisa ya kuwabadilisha kama hana imani nao na hivyo kuteuwa wake . Wacha kwanza atangazwe. #Hapa ni kazi tu.