ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 2, 2015

YANGA HII NI TAMU HATARI. .


HEBU CHEKI HII:-
*Tumecheza michezo 5,Tumeshinda yote.
*Tumefunga magoli 13,Tumefungwa goli 1.
*Tunaongoza ligi toka ligi ilipoanza.
*Timu yetu ndio ina safu kali ya kupachika mabao.
*Timu yetu ndio ina safu ngumu ya ulinzi.
*Timu mbili za juu kati ya 3 tumeshazifunga.

WACHEZAJI:-
*Amiss Tambwe kafunga magoli 4.
*Donald Ngoma kafunga magoli 4.
*Malimi Busungu kafunga magoli 2.
*Ally Mustafa hadi sasa ndie kipa bora.
*Kamusoko,Twite na Msuva wamefunga goli moja kila mmoja.
*Kiwango cha Kelvin Yondani kimekuwa gumzo yasemekana yupo katika kiwango bora zaidi kuwahi kutokea katika carrier yake ya soka.
*Cannavaro akiri toka atue Yanga mwaka 2006 hii ndio Yanga kali zaidi kupata kuichezea.

No comments: