Monday, November 23, 2015

Anacho kitaka Zitto Kabwe ndani ya siku 100 za uongozi wa Rais Dk. Magufuli

5 comments:

Anonymous said...

Zitto umeamua kurejea CCM kiaina sio!!

Anonymous said...

Yale, Yale ya Mbatia na Chadema na kukisahau chama chake.

Anonymous said...

Zitto kaamua kua mshauri mkuu wa Magufuli

Anonymous said...

Mh. Zitto Kabwe, mawazo mazuri japokuwa mwenyewe Rais alishayaanza kuyafanyia kazi, na huyo JM anayesifiwa si ndiye yule yule aliyeleta shida kwa kipindi cha uchaguzi hata kufikia kukamatwa kwa vijana wa IT!huyu asonge mbele hado 2030! sivyo ajiunge na ACT ili agombee!!kwa Rais ungeongeza tu kwamba ajitahidi kusitisha yale magari ya polisi yanayofikia idadai ya 770 idadi ambayo haijapokelewa basi gharama yake iweze kusaidia vitu vinginevyo hizo pickups na magari ya washawasha mbona hakuna ambulance au fire trucks! Kama ilikuwa nia kudhibiti wananchi na wapinzani si basi imeshafanikiwa? Mh. JPM tafadhali tumia wadhifa wako ulio nao kikatiba kusitisha hayo magari na hiyo fedha ifanye kazi nyingine ni fedha nyingi saana! hatukuyahitaji yote hayo kama vile Tanzania ni Somalia, Afghanistan au Iraq!!!!! viva JPM./

Anonymous said...

Bwana Zitto huna right ya kumpa ultimatum Rais. Wacha JPM afanye kazi kadri ya uwezo wake. Tumemchagua atuongoze kwa miaka mitano na siyo siku 100. Ni vyema kwenda pole pole but sure kuliko kwenda kasi na kuharibu mambo. Mr. President, take your time to do it Right.