Advertisements

Monday, November 30, 2015

ANNE KANSIIME MCHEKESHAJI KUTOKA UGANDA ALIVYOITEKA DMV

IMG_8517
Wadau mbalimbali wakiingia ukumbini siku ya Ijumaa Novemba 27, 2015 siku mchekeshaji mwenye jina kubwa barani Afrika na Duniani Anne Kansiime kutoka Uganda alivyoitikisa DMV onesho likiwa maalum na zawadi tosha kwa Diaspora wa DMV kwenye sikukuu ya Thanksgiving inayoadhimishwa Alhamisi ya mwisho ya mwezi Novemba nchini Marekani.
IMG_8831
Mchekeshaji kutoka Uganda Anne Kansiime akiiteka DMV siku ya Ijumaa Novemba 27, 2015 alipofanya onesho lake Maryland na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo Diaspora wa Afrika Mashariki.

12278684_10153825879719198_8450207755052312275_n
Anne Kansiime akiwa kazini huku mashabiki wake wakifa kwa kuvunja mbavu.
IMG_8814
Mwanamitindo maarufu DMV Miss T akijumuika kwenye onesho hilo kwa kuonyesha vivazi mbalimbali vinavyobuniwa na Kwetu Fashions.

No comments: