ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 21, 2015

DR SHEIN AKAGUA SHUGHULI ZA MAENDELEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd,Mussa Awesu Bakari wakati alipokuwa akiangalia ramani ya Mradi wa ujenzi wa Ukuta wa Forodhani Mjini Unguja leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Miradi mbali mbali Mjini, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimuuliza suala Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd,Mussa Awesu Bakari wakati alipokuwa akiangalia Mradi wa ujenzi wa Ukuta wa Forodhani Mjini Unguja leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Miradi mbali mbali Mjini, [Picha na Ikulu.] 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo ya ramani ya ujenzi wa Mtaro wa maji ya Mvua katika viwanja wa mnazi mmoja kutoka kwa Mhandisi wa Manispaa ya Zanzibar Mzee Khamis Juma wakati alipotembelea mradi huo wa ujenzi unaojengwa na kampuni ya CRJ kutokaChina,{picha na Ikulu.

3 comments:

Anonymous said...

Hivi kumbe Dr. Shein ni Rais wa Zanzibar!!! Kazi ipo mwaka huu.

Anonymous said...

bado.demokrasi tanzania bado sana.huyu bwana akiwa amedhaminiwa na ccm kugombea urais zanzibar aliangushwa vibaya na mgombea wa cuf-ukawa seif sharrif hamad.mtu mmoja aitwaye jecha katika tume ya uchaguzi zanzibar-kwa kutumwa na mamlaka ya juu-akasema ule uchaguzi ulikua batili akatangaza kuufuta wote.kumbuka hizo ni nguvu za mtu mmoja aitwaye jecha.hakuwa na uwezo,hana uwezo,ametumwa na baada ya tangazo hili,hajawahi kuonekana hadharani tena,kafichwa.nimeshangaa kuona picha hii ya aliyekua rais wa zanzibar shein anakagua miradi.juzi walimpeleka bungeni dodoma kumfedhehesha mbele ya mabalozi na wageni wa kimataifa.alizomewa,alitukanwa kwa nguvu na usoni kwake alisinyaa.ustaarabu uko wapi umeshindwa,uko radhi kukaa pembeni chama chako CCM wanasema'hapana seif hawezi kuchukua nchi hata siku moja'.

Anonymous said...

Kumbe ulidhani raisi wa Zanzibar ni nani?