Advertisements

Saturday, November 21, 2015

Namba Kwaajili ya Kupitishia Rambirambi Tanzania kwa Familia ya Marehemu Nyamiti Ivan Lusinde


Kwa watu wanaopenda kutoa rambirambi zao kwa familia ya Marehemu Bi. Nyamiti Ivan Lusinde, mnaombwa kutuma rambirambi hizo kupitia namba ya simu ya Mama wa Marehemu, Bibi Agnes Lusinde - +255758468397 ya Vodacom. Namba hiyo ina account ya M-Pesa, ambapo kwa mfumo wa Sendwave, rambirambi hizo zitamfikia mhusika moja kwa moja. 

Kwa wasio na App hiyo, wanaweza kuipata kutoka link hii: www.sendwave.com

No comments: