Baadhi ya Washiriki wakiwa Kwenye Picha ya Pamoja
Entrepreneurs and Investments Forum, iliyofanyika siku ya Jumamosi , November 28, 2015 kwenye ubalozi wa Tanzania Washington DC. Shughuli hii iliandaliwa na Investment Consortium of Tanzanians in USA(ICT) . Wafanyabiasha na watu mbalimbali waliudhuria na kusikiliza kutoka kwa viongozi mbali mbali wa Nyanja za biashara . Pia washiriki walipata nafasi ya kujifunza mengi kutoka kwa wataalamu mbali mbali. Wakizungumzi kuhusu ICT, waanzilishi wa kampuni hii walisema lengo ilikuwa ni kuwanufaisha watanzania na wafannya biashara wote. Walisisitiza kuwa huu ni mwanzo tu; na tamasha hili litakuwa likifanyika kila mwaka. Waanzilishi walisema kuwa ICT, inashughulika na maswala mbali mbali ikiwemo, Trade Mission, Trade, Investments, tourism na Education kati ya Tanzania na USA. Kwa melezo Zaidi pitia www.itzconsortium.com
Waanziilishi wa Investments Consortium of Tanzanians in USA, LLC wakiwa kwenye picha ya pamoja . Kutoka kushoto, Asha Nyanganyi(Director of Communication and Social Responsibility), Iddi Sandaly, (CEO), Joha Nyanganyi ( Director of Marketing), Asha Hariz na Jasmini Rubama (Directors of Finance) na Mayor Mlima (Director of Communication and Social Responsibility)
CEO wa ICT akizungumza
Mmoja ya wazungumzaji CEO wa Perfect Office Solution, Chiko Abengowe akiungumza
Professor Hermine G. Zossoungbo akizungumza
Mr. Nasibu Sareva, Excutive Director wa African Development Corporation (ADC)
2 comments:
huu ni kupendeleana...why hamposti this info kabla haijafanyika ...au ndiyo hivyo
Wewe anonymous wa kwanza. Tangazo hilo liliwekwa zamani not only Vijimambo almost magroup yote ya whatsup, viber n.k. Link ya matangazo hiyo hapo chini
http://lukemusicfactory.blogspot.com/2015/11/entrepreneurs-and-investments-forum-and.html
Post a Comment