Watanzania wezangu naomba nitowe maoni yangu kuhusu (Job Ndugai) mmoja ya watu walioonekana kufaa kuwa Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Soma zaidi Hapa
6 comments:
Anonymous
said...
Ndugai huyu huyu,aliekimbia mjadala wa Escrow kwa kisingizio cha jkwenda kwenye matibabu nje ya nchi! Cha ajabu mara aliporejea akamlamba mtu rungu!!
It is very interesting how CCM chooses its leaders. How on earth can you just disqualify people like Nchimbi, who has been in UVCCM, Minister etc - I just don't get it.
Ndugai - what did he do during the campaign, fight?
mwinyi - dad was President so he deserves the position.
Wabunge - wake up, vote for someone from UKAWA may be.
sawa,kama job ndugai hafai uspika kwa maoni yako,sasa nilitegemea angalau ungependekeza jina la baba yako,na kwa kuwa amekuzaa utuambie anafaa.weka ujinga kando,weka akili yako mbovu kando,weka kisasi chako cha kuchujwa kando,job ndugai ndiye chagoo sahihi la spika mpya wa bunge a jamhuri ya muungano.rudi kakae na mkeo,mwambie'ccm wamezigundua mapema hila zangu mke wangu,wamenichuja yaani wamenikataa "najisikia kuona majitu yananijia" naomba unisindikize mirembe'
Mgombea mwingine yeyote atakuwa okay, lakini wanafamilia za marais waastafu? Huyu Mheshimiwa Rais mstaafu anaye mwanae ambaye ni #2 man pale Tanzania mission UN New York, na mwingine ni former Waziri wa Ulinzi. Kweli tunaacha NEPOTISM so wide open just like that? Watanzania tuamuke jamani, na naomba Wabunge tafadhali msifuate mkumbo wa wakuu wachache wanaotaka kupeana madaraka chini chini.
juu ya matusi yaliyotolea kwa msemaji wa awali hata na mimi naunga mkono kutofaa kwa Mh. Ndugai kuwa ni Spika. Mimi nilifuatilia sana vikao alivyoendesha kama ni Naib Spika kwenye bunge la 10, maamuzi yake mara nyingi yalikuwa ni ya kidikteta na ubabe mwingi. Mh huyu alitajwa kwenye ESCROW, lakini na suali la kumchapa bakora mpinzani wake kwenye kampeni za kura ya maoni, kuchapa kwa bakora tena camera iliyokuwa inatumika kumrekodi tendo lake la kumchapa mgombea mwenzie linadhihirisha ubabe na kutumia nguvu kwake sifa ambazo Spika wa Bunge lijalo lisingepaswa kuwa na kiongozi wa aina hii. Haya ni maoni yangu tu

Si alituhumiwa kuchapa ngumi mgombea mwenzake? Kweli anaweza kuwa Spika?
Post a Comment