Loveness Mamuya mratibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Marekani akishiriki sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano Dr. John Pombe Magufuli iliyofanyika leo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Sherehe ya kumwapisha Rais wa awamu ya tano ikiendelea.
Ukodak moment kwa ajili ya kumbukumbu.


