KATIBU MKUU KIONGOZI AKIZUNGUMZIA ZIARA YA GHAFLA YA MH. WAZIRI MKUU BANDARI
1 comment:
Anonymous
said...
Hivi wako wapi hao ccm mbona hawajitokezi kumpongeza raisi kwa usafi anaoufanya kufagia uchafu wao ccm iliyopita. At least utasikia upinzania wakiyatoboa machafu ya ccm iliyopita. Je mbona hao ccm ndio waliokuwa mbele kumpigia rais debe katika kampeni? Hawakujua kuwa yao machafu yatatibuliwa?? Ccm mko na tumbo moto kwa kuogopa kuwa wewe utakuwa next ndiyo maana Mheshimiwa raisi JPM anakawia kidogo kutaja jopo lake la mawaziri kwa sababu hataki uchafu wa ccm iliyopita. Ccm mko wapi mbona hamko na guts ya kujitokeza na kumpongeza Mheshimiwa raisi kwa usafi anaoufanya kusafisha uchafu wenu wa hapo nyuma?? Mlifikiria atakuwa kibebeo atawafunika funika kidogo. Hayo yamepita. Baba wa Taifa Mwl. Nyerere angekuwa hai angekuwa anachekelea kazi nzuri ya JPM na waziri mkuu. Fikiria kama jopo lote la mawaziri wote hawatakuwa na mchezo, Tanzania itanyanyuka within 2 yrs. wengi ccm mtakula lupango mwaka huu.

Post a Comment