Advertisements

Sunday, November 29, 2015

MKUU WA CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA HUBERT KAIRUKI ANOGESHA MAHAFALI YA KUMI NA TATU YA CHUO HICHO

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim, akimkabidhi cheti muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Kozi ya Digrii ya Umahiri ya Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Beatrice Mugula ambae ni Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Beatrice Mugula, akiwapa mikono baadhi ya viongozi waliopo meza kuu mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya Ustawi wa jamii (Master of Social Work) katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki
Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akivaa kofi yake mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya Ustawi wa jamii (Master of Social Work)
Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akiwa katika pozi mara baada ya kuhitimu
Muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Mwanaidi Nyalukunyo akiwa katika pozi
Muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Mwanaidi Nyalukunyo akiwa na tabasamu
Baadhi ya wahitimu wa Kozi ya Uuguzi wakila Kiapo
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim, akimtunuku muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Dar es Salaam, Beatrice Mugula ambae ni Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Slaam, Beatrice Mugula (wa pili kulia) akiwa na wenzake akipiga makofi mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya Ustawi wa jamii (Master of Social Work) 
Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimu Kozi ya Digrii ya Umahiri ya Ustawi wa jamii (Master of Social Work) katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki
Mkuu wa Idara Ustawi wa Jamii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula akiwa katiki pozi na muhitimu mwenzake wa fani hiyo, Mwanaidi Nyalukunyo
Muhitimu wa Kozi ya Digrii ya Umahiri ya Ustawi wa jamii (Master of Social Work) Mwanaidi Nyalukunyo akiwa katika picha ya pamoja na familia yake

No comments: