Watu watano waokolewa wakiwa hai Wilayani Kahama baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi mwezi uliyopita
1 comment:
Anonymous
said...
Yaani jamaa wanaitwa binadamu wenzao "manyani" halafu hata hawa waandishi habari wanajadili hili suala kama ni la kawaida tu. Hili ni suala kubwa ambalo linatakiwa kufanyiwa kazi kubwa, wenye migodi hiyo wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sharia mara moja. Bila hivyo Tanzania itaendelea kuwa mahali pa wachache kuneemeka na wengi malofa na manyani kufa kabla ya wakati wao!!!

Post a Comment