Tuesday, December 29, 2015

AFRO FRENCH CONNECTION

ITS ANOTHER TIME TO SHARE KNOWLEDGE....

The Okoa Mtaa Foundation wakishirikiana na We Present kutoka nchini ufaransa
wanawaalika wote wanaohitaji kujifunza sanaa ya upigaji Midundo kwa kutumia Mdomo maarufu kama "Beat Box".

Mafunzo yataanza tarehe 13 January 2016 Mpaka Tarehe 23 January 2016.

Mwisho wa Kujiandikisha ni Tarehe 10 January 2016.

Jiandikishe kupitia email: knowledge@okoamtaa.com


Follow us on Facebook: www.facebook.com/OkoaMtaa

No comments: