Wednesday, December 30, 2015

AZAM YAISHUSHA YANGA KILELENI, YAIFUNGA MTIBWA SUGAR 1-0


 Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco, (kulia) akichuana na beki wa Mtibwa Suger, Andrew Vicent, wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika katika Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu)
Wachezaji wa timu ya Azam FC wakishangilia bao pekee lililofungwa na John Bocco (katikati), katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.

No comments: