Saturday, December 26, 2015

Balozi Masilingi ahudhuria Tanzania Day Oakland California 12/19/2015

Balozi masilingi akihutubia wadau waliohudhuria Tanzania Day kwenye jiji la wajanja Oakland California
Balozi Masilingi akiteta Jambo na katibu wa jumuiya ya watanzania California Bi Lucy Geay
Balozi Masilingi akisalimiana na naibu Meya wa Jiji la Vallejo Mr Stuart Pelton. Kulia kwa Balozi ni Dr Kaaya Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania California
Balozi Masilingi katika picha ya pamoja na Prof Mrisho, Mr Pelton na Mrs Pelton.

No comments: