Wednesday, December 30, 2015

Bryan Mwombeki Ashinda Mpira wa Tennis Capital Junior OPEN # 1 L 5 Washington, DC

Bryan Mwombeki ameshinda Konde la watoto Tennis Washington,DC kwa kuwa mshindi wa kwanza kwa watoto wenye umri wa miaka kumi na kwenda chini (10 and under ) ulioandaliwa wa S.Marie Tournaments chini ya Shilikisho la Tennis Marekani (USTA) uliofanyika katika viwanja vya ndani vya Tennis SETLC , SE Washington, DC.Bryan aliwashinda wapinzani wake, Bryce Freeman bao 4-2,4-2 kisha akamshinda Lucca Gandolfo bao 4-0, 4-1 na kupata ushindi wake mkubwa dhidi ya Carel Ngounoue bao 3-5,4-1,10-5. Pichani Bryan Mwombeki akiwa na kombe lake la ushindi. Pamoja naye ni nduguze KageBriana na Bryton Mugisha.

1 comment:

Anonymous said...

Hongera Brian kwa kuiwakilisha TZ mpaka hapo ulipofikia. Ongeza juhudi ili siku moja ung'are zaidi kitaifa na kimataifa. Hongera sana kwako na kwa mzazi wako kwa malezi bora.