Wednesday, December 9, 2015

BWANA MASOUD ASHIRIKI KUFANYA USAFI JIJI DAR-ES-SALAAM

 Bwana Masoud Maftah President Of Tanzania Diaspora Club katikati akiwa na Mzee Madabida Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar-Es-Salaam, na na Mwenyekiti wa CCM tawi la Lumumba Bw. Vincent Pila wakipanga mikakati ya kuunza usafi. Maazimisho ya siku ya Uhuru Tanzania ni Usafi kwanza sherehe baadae.
 Bwana Maftah akiwa na Timu yake baada ya kung'arisha kwa usafi kwenye eneo lao la kazi

 Ukodak wa pamoja na timu ya usafi kwenye tawi la CCM Lumumba Dar-Es-Salaam

2 comments:

Anonymous said...

Waandishi tuwekeninsawa mnapoleta habari mtandaoni.Hii inamaanisha usafi umefanyika kwenye tawi la CCM na wala sio kulw kunakolengwa. Hii sasa imekuwa agenda ya siasa au ndio ilani ya Chama!! Tusilifanye jambo.la.kisiasa kwani baadae linaanza kugharimu fedha lukuki!? Mbona hazikuwekwa picha kuonyesha wanachokifanya usagi kamilifu?? Tunajua kina uchafu mwingi tu je umezolewa na nini ja kupelekwa wapi au imetupwa pembezoni. Mfano wa wale kina mama wafahia barabara dongo wanalizoa na kutupa pembezoni na kujenga milima kati ya barabara na barabara!!

Anonymous said...

annony hapo juu wacha wivu. usafi popote pale hata chama kinahitaji usafi