Saturday, December 26, 2015

EDDAH ELEGANT CATERING YAFANYA KWELI MNUSO WA CHRISTMAS DMV

 Eddah Gachuma mmiliki wa Eddah Elegant Catering akipata picha alipofanya Party  ya Christmas kwa wanaDMV na marafiki zake siku ya Ijumaa Desemba 25, 2015 Beltsville, Maryland na kuhudhuriwa na wanaDMV wengi wakiwa kifamilia zaidi wakisherehekea na watoto wao huku watoto wakiwa na chumba maalum.
WanaDMV wakijumuika pamoja na familia zao kwenye mnuso wa christmas ulioandaliwa na Eddah Elegant Catering uliofanyika siku ya Ijumaa Desemba 25, 2015 Beltsville, Maryland.
Wadau mbalimbali wa DMV wakijumuika pamoja kwenye christmas pati iliyoandaliwa na Eddah Elegant Catering uliofanyika siku ya Ijumaa Desemba 25, 2015 Beltsville, Maryland.
Mnuso wa christmas ukiendelea 
Watoto wakiwa kwenye chumba maalum kwa ajili yao
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi





2 comments:

Anonymous said...

Hii safi sana dada Eddah, lakini hunialika mie MANYUMBA KUMI WAKO! Happy holidays!

Anonymous said...

GOOD JOB EDDAH WE HAD FUN, ONGEZA SPEED 120.VERY NICE