Thursday, December 10, 2015

EXCLUSIVEE.....ALICHO ANDIKA MSIGWA KUHUSU BALAZA LA MAWAZIRI LA RAIS MAGUFULI


5 comments:

Unknown said...

The hearty of any good team is a good manager/coach . You can have a good players without a good coach nothing can be accomplished but you can have a poor players under the good coach and the result can be amazing. So we believe under the Magufuli management everything and everybody will be alright.

Anonymous said...

Poor argument, the accomplishment of poor players under the good coach can be amazing in what sense and in what comparison? How can operational excellence be achieved with meagerness...

Anonymous said...

Kama hakuweza kuona tatizo la Nyalandu wakati akiwa kwenye kamati ya bunge ya maliasili na utalii,hakuna analojua.mimi sioni type ya Nyalandu kati ya hao walioteuliwa.

Anonymous said...

msigwa uchaguzi umeshakwisha, jenga iringa mjini. na sisi tunajenga Tanzania yetu, kweli watu wa iringa mjini wamepoteza muda kuchagua huyu kilza. juzi kati hapa alikuwa analia kunyimwa kura, sasa amechakachuwa kashinda anaanza kuongea ujinga wake. kamati ya bunge ambayo yeye alikuwa mwenyekiti alishindwa kubainisha uozo ktk maliasili sasa anathubutu kumkosoa jembe magufuli, uncle uchaguzi umekwishaaa. wewe hubiri dini ndio fani yako

Anonymous said...

who's msigwa? a lunatic from the streets? why shouldn't we judge our leaders and on their performance?