Saturday, December 5, 2015

Familia ya Alphonce Mawazo imelazimika kusitisha shughuli za matanga kutokana na vurugu inayoendelea katika jimbo la Busanda

2 comments:

Unknown said...

Tulitoa maoni yetu hapa na kulaani jinsi ukawa na chadema na viongozi wao kulitumia suala la kifo cha mawazo kama mtaji wa siasa na zaidi kupandukiza chuki miongoni mwa watanzania. Sasa chochote kitakachotokea au kinachoendelea kutokea hasa kuhusiana na vurugu basi ukawa/chadema na viongozi wao wanahusika moja kwa moja na vurugu hizo na wanapaswa kuwajibika au serikali kuwaajibisha kutokana na kuwekeza nguvu zao kuhakikisha nchi inakosa amani.

Anonymous said...

mtoa mada sidhani kama unatafakari hili jambo halikuanzia Ukawa wala Chadema. Wauwaji wenyewe ni hawa waliotumwa je unadhani nini kitakachoendela kama sio kutaka kuharibia watu wengine ili mradi waonekane kama unavyodhania kwenye mada yako. Ni vyema uongozi wa mkoa ukakomesha haya mambo kwani usalam upo kwa nini haufanyii kazi yake? Wasitake kumtesa marehemu hadi kaburini hii nini"??