
Familia ya Bi. Melissa Kritikos na Bw. Richard Mawenya inawakaribisha katika Misa takatifu ya kumbukumbu ya Bibi yao mpendwa aliyemlea Melissa,
Bibi Catherine E. Sarmanis
aliyefariki dunia Novemba 22, 2015, Dar-es-Salaam, Tanzania.
Misa itakua Jumapili, Disemba 13, 2015 kuanzia saa nane (2pm) mchana.
St. Edward's Catholic Church, 901 Poplar Grove St. Baltimore MD 21216.
Reception itafuata baada ya Misa.
Kwa habari zaidi, wasiliana na
Richard Mawenya: (240) 462 2480
Tamia Tzamburakis: (240) 491 2487
Esther Msungu: (240) 988 1749
"Tunamshukuru Mungu wetu kila tukukumbukapo Bibi!"
KARIBUNI SANA!
No comments:
Post a Comment