Wednesday, December 9, 2015

Kikwete Akanusha Tuhuma Dhidi ya Ukwepaji Kodi

7 comments:

Anonymous said...

mhariri,vijimambo.siku zote jielekeze kwenye uandishi baada ya kuchapishwa kwa kichwa cha habari.mfano ni kichwa hiki cha habari'nzito'KIKWETE AKANUSHA TUHUMA DHIDI YA ULIPAJI KODI',baada ya hapo ukatega kuonyesha video ambayo haipo.mambo mazito kama hili ni very curious kwa wananchi na kama umbahatika kupata maelezo basi yachapishe,vinginevyo uandishi wa aina hiyo unageuka kuwa hana mashiko na tutauita wa ubabaishaji.tunakupenda sana vijimambo.

Anonymous said...

Huyu mzee apumzike asiwafanye watu wapumbavu,yeye kama kiongozi wa nchi unawezaje kuwaacha wezi bandarini wanaiba alafu wewe unakaa kimya?nenda kampumzike masoga tuaache na jembe letu.

Anonymous said...

Amekanusha then huo ubadhirifu umetokea wapi? Huyu jamaa aache zake ameiharibu nchi bila huruma then anajitokeza kusema sema upupu. Angefanya kama President George W. Angeenda nyumbani na kujituliza zake na asiongelee politiks anymore. Ni nani hajui huyu jamaa alivyoichafua nchi na uchumi wake. Shame on you Kikwete!!

Anonymous said...

Safari za ulaya uliona muhimu kuliko kununua vitanda muhimbili. Kapumzike historia itakuhukumu

Anonymous said...

THE WORSEST PRESIDENT IN HISTORY OF OUR COUNTRY. ETI MWACHENI MAGUFULI AENDELEZE VITA DHIDI YA RUSHWA?....AENDELEZE VIPI? KWANI KULISHAKUWA NA VITA DHIDI YA RUSHWA KABLA YA MAGUFULI KUINGIA IKULU? KIKWETE AMEHARIBU VYA KUTOSHA.....KWANINI ASINYAMAZE TU ANGALAU WATANZANIA TUJARIBU KUMSAHAU? TUMEPIGA KELELE KUHUSU RUSHWA KATIKA MIAKA YAKE YOTE KUMI (10) LAKINI HAKUNA LILILOFANYIKA, NCHI ILIENDELEA KUWA SHAMBA LA BIBI, MARAFIKI NA WANAFAMILIA WAKE WAKIENDELEA KUCHUMA KWA DHULUMA NA WIZI...KIKWETE ATAANDIKWA KATIKA HISTORIA KUWA RAIS AMBAYE HAKUWAJALI WATANZANIA ZAIDI YA KUENDELEZA URAFIKI NA WEZI NA WALA RUSHWA. ANAONA MAGUFULI ANAJITAHIDI(INGAWA NI JUKUMU LAKE) ANAANZA KUTOA MANENO YA KUKATISHA TAMAA....ETI "HAO WALA RUSHWA NA WABADHIRIFU HAWATAACHA" JE WAKIACHA KIKWETE ATATUAMBIA NINI?? NCHI HII AMEIACHA KIKWETE IKIWA IMEOZA..IMEOZA...IMEOZA!!

Anonymous said...

Mmmm am just curious, why is he even talking?! Mr Kikwete please go rest with your family and let Tinga Tinga do his job. Hapa kazi tu hatutakii kujitetea wala kujibizana kwa jambo lolote lile... Asante Sana.

Anonymous said...

WAKATI MWINGINE NI BUSARA KUKAA KIMYA.