Thursday, December 10, 2015

Kipindi cha Jukwaa Langu Dec 7 2015 (PT II)...MJADALA

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu Tanzania yetu ya sasa na ile tuitakayo
Katika sehemu hii ya pili ya kipindi, tunajadili mambo mbalimbali kuihusu nchi yetu kwa kushirikiana na wasikilizaji wetu. Hii ni baada ya Mahojiano HAYA na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Paul Makonda (bofya hapa kuyasikiliza)
KARIBU

No comments: