VIJIMAMBO

ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 29, 2015

MKE WA T.B JOSHUA AELEZA JINSI ALIVYOANZA MAPENZI NA MUMEWE, AULIZWA ALIVYO ‘KITANDANI’!



Mke wa mhubiri maarufu wa Nigeria, T.B Joshua, Bi. Evelyn Joshua ameeleza namna amefanya mahojiano maalum na gazeti la Sun na kueleza namna alivyoanza uhusiano wa mapenzi na mumewe pamoja na maisha yao ya mapenzi kama wana ndoa.
Evelyn alieleza kuwa alipokutana na T.B Joshua kwa mara ya kwanza alimwambia bila kumung’unya maneno kuwa anataka kumuoa (ali-propose).

Haya ni baadhi ya maswali na majibu ya mahojiano hayo: 

Sun: Tuambie mlikutanaje

Evelyn: Ndio.. kama nilivyokwambia mwanzo ndivyo ilivyo. Mhhh, sijui niiteje… ulikuwa mpango wa Mungu. Ni hadithi ndefu lakini kitu cha kushangaza zaidi siku hiyo kilikuwa hicho. Ilikuwa siku niliyokutana naye na ndio siku aliponiomba tuoane. Alisema nakupenda, nataka kukuoa. Ilikuwa kama hivyo tu.

Sun: Watu wengi wanaamini kwamba wachungaji sio ‘romantic’. Wanafunga na kuomba muda wote. Je, T.B Joshua ni ‘romantic’?

Evelyn: Ni mwanaume mzuri

Sun: Ni mwanaume mzuri kitandani?

Evelyn: Mhhhhh..! Siwezi kusema, nisingejua… kwa sababu hakuna mwanamke ambaye angependa kumzungumzia mumewe hadi kwenye hatua hiyo. Ila mimi nadhani ni mwanaume mzuri.

Sun: Watu wengi hawamuelewi mumeo, wanadhani ni mtu mwenye mambo ya nguvu za giza na anatumia nguvu za giza. Unaposoma habari kama hizo unajisikiaje?

Evelyn: Najua sio kweli, hawamjui. Sio mtu wa ajabu, sio mtu wa nguvu za giza, amejitoa kwa kazi yake tu. Ni mtu ambaye ana hofu ya Mungu ndani yake, ni hivyo tu. Hizo habari hazinitingishi kwa vyovyote kwa sababu inaonekana hawamfahamu.

-Evelyn ambaye ana watoto watatu wa kike pekee, ameeleza kuwa ameridhika na ndoa yake na wanae wa kike wa pekee kwa kuwa amezungukwa na wavulana. Alieleza kuwa haoni kuwa na watoto wa kike pekee kama tatizo ingawa jamii yake huthamini watoto wa kiume zaidi ya watoto wa kike.
at 7:09:00 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

DJ Luke Joe

DJ Luke Joe

TANZANIA BLOGGERS' NETWORK

TANZANIA BLOGGERS' NETWORK

IskaJoJo Studios

IskaJoJo Studios

BEST MUSIC,BEST RATES

BEST MUSIC,BEST RATES
Music From The Past To The Present

RADIO YA UMOJA WA MATAIFA

RADIO YA UMOJA WA MATAIFA
TAARIFA YA HABARI & VYOMBO VYA HABARI

GENN RADIO

GENN RADIO
LISTEN LIVE

Clouds FM

Clouds FM
LISTEN LIVE

Radio Mbao

Radio Mbao
LISTEN LIVE

TONE ONLINE RADIO

TONE ONLINE RADIO
LISTEN LIVE

MJ RADIO

MJ RADIO
LISTERN ONLINE NOW

BONGO FLEVA

Tafuta

Kumbukumbu

Wadau

Tovuti na Blog Nyingine

  • 24 SEVEN 365
  • AL JAZEERA
  • BBC
  • BONGO CELEBRITY
  • BONGO STAR LINK
  • CHANGAMOTO YETU
  • CHEKA UPASUKE
  • CNN
  • DAILY NATION
  • DAILY NEWS
  • DINA MARIOS
  • DMK 411 BLOG
  • EBONY MAGAZINE
  • FACEBOOK
  • FIRST ROW SPORTS
  • FOX SOCCER
  • FULL SHANGWE
  • GENN MEDIA BLOG
  • GLOBAL PUBLISHERS
  • GSENGO BLOG
  • GUARDIAN UK
  • HABARI LEO
  • HAKI NGOWI
  • HIP HOP NEWS
  • IPP MEDIA
  • ISKAJOJO
  • JAMII BLOG
  • JIACHIE
  • K-VIS BLOG
  • KAHAWA TUNGU
  • KAMUSI
  • KITIME
  • KULIKONI
  • LADY JD
  • LILY MELODYY BLOG
  • LUNINGA
  • MAGANGA ONE
  • MAJIRA
  • MAMBOJAMBORADIO
  • MATUKIO
  • MAWASILIANO IKULU
  • MBEYA YETU
  • MICHUZI
  • MISS JESTINA GEORGE BLOG
  • MO BLOG
  • MOHAB MATUKIO
  • MTAA KWA MTAA BLOG
  • MWANANCHI
  • NAIROBI NEWS
  • NATION
  • NEW YORK TIMES
  • OTHMAN MAULID BLOG
  • PROFA
  • RAIA MWEMA
  • RED PEPPER
  • SAUTI TOKA NYIKANI
  • SHALUWA
  • SHAMIM
  • SPORT STAREHE
  • SPORTS SITE
  • STORM FM GEITA
  • SUBSONIC
  • SUFIANI MAFOTO
  • SUNDAY SHOMARI'S BLOG
  • SUPER SPORT
  • SWAHILI NA WASWAHILI
  • SWAHILI TV
  • SWAHILI VILLA
  • TAIFA JIPYA
  • TANZANIA BUSINESS DIRECTORY
  • TANZANIA DAIMA
  • TANZANIA GLAMOUR
  • TANZANIA HOTELS,WILDLIFE SAFARIS & CHEAP FLIGHTS
  • TAWICHITA
  • TEKNOHABARI
  • THA FUNK HOUSE
  • The Embassy of the United Republic of Tanzania in the United States
  • THE GLOBE AND MAIL
  • THE MONITOR
  • THE STANDARD
  • TMZ
  • TUNYFISH
  • TZMOMS
  • UHURU
  • UTNC
  • VOA-SWAHILI
  • WASHINGTON POST
  • WAVUTI
  • ZIMBIO

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

  • MISSY TEMEKE AFUNGUKA AANIKA MWALIKO WAKE MCHANA KWEUPE
    Missy Temeke Mkurugenzi wa KWETU Fashions hatimaye amefunguka kutokana na maoni ya watu waliopinga tangazo lake la kwamba amealikwa kweny...
  • LOWASSA ATUA MPANDA KWA CHOPA, APATA MAPOKEZI MAKUBWA
    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Ed...
  • LOWASSA: TUME YA UCHAGUZI INAMPE-NDELEA DK. MAGUFULI
    Brighton Masallu MGOMBEA wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa ...
  • WACHENI PROPAGANDA KWENYE MASWALA YA MSIBA YA WATANZANIA MAREKANI. UCHAGUZI WA DMV 2014 NI BATILI
    Alawi Omar na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV bwn. Iddi Sandaly wakisalimiana na kupiga picha ya pamoja walipokutana kwenye mazishi ya ...
  • WATANZANIA WA NEW YORK, NJ, CT NA MA MNAKARIBISHWA KWENYE SHEREHE ZA UHURU DECEMBER 7, 2013 KUNYWA KULA NA KUCHEZA HADI MAJOGOO.
    Watu wote mnakaribishwa siku hii ya uhuru kutakuwa na vyakula, vinywaji music na mambo mengi ya kuchangamsha. Unachotakiwa ni kulipa 30...
  • AUDIO: JANUARY NA MWAMVITA MAKAMBA WAMJIBU MUITALIANO ALIYEWAPA TUHUMA NZITO
    Hatimaye Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano), January Makamba na mdogo wake Mwamvita Makamba wamejibu tuhuma z...
  • MASHABIKI WA LOWASSA, MUMEYAFIKIRIA HAYA?
    Picha kwa hisani ya Michuzi Na Mwandishi wetu NAOMBA nikiri kwamba pamoja na kuwa mfuatiliaji sana wa mambo ya siasa, nchini na dunia...
  • Diaspora marufuku kumiliki ardhi nchini Tanzania
    Tanzanians in the Diaspora continue to grapple with challenges that have seen most members either defrauded or lose confidence that th...
  • MKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
    Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhum...
  • KURA YA URAIS 2015 NANI CHAGUO LAKO?
       October 25,watanzania (waliojiandikisha kupiga kura) watajipanga mistari katika sehemu mbalimbali nchini kuchagua Rais na wawakilishi ...

LIVE TRAFFIC FEED

© 2015 Vijimambo - All Rights Reserved
Powered by Blogger.

HIT COUNTER BY GOOGLE