Saturday, December 5, 2015

Mtanzania Omary Clayton kashinda Tuzo ya heshima nchini Marekani



Good News ikufikie popote pale ulipo, Leo Dec 5, 2015 historia nyingine imeandikwa katika Afrika na dunia kwa ujumla baada ya Mtanzania mwenzetu Omary Clayton kuibuka na ushindi mnono katika shindano la Tuzo za California Viewers choice Award za nchini Marekani akiwa kama muigizaji bora wa kiume kutokea Afrika.
Clayton kapata ushindi huku pia filamu ya Dogo Masai aliyokuwa ameshiriki nayo imejipatia Tuzo.
Na hapa anaeleza furaha yake kupitia post aliyoiweke kwenye Instagram page yake >>>
“Daah!! Mpaka nimetokwa na machozi!! Na sijui niandike nini but kikubwa namshukuru sana mwenyezi mungu mwingi wa rehema!! HATIMAE TUZO IMEKUJA AFRICA!! WANDUGU NITAWASHUKURU NOW NASHINDWA HATA MANENO GANI NIANDIKE KUWASHUKURU

No comments: