Naj Exclusive Interview na asichopenda kuulizwa tena
2 comments:
Anonymous
said...
Milaard Nakupendaa na ninakubali juhudi zako Ila jifunzeeee kizungu kidogo tu cha kukusaidia ku interview warembo Kama huyu anayechanganya sana English na Kiswahili!!! Na Wema na Venessa hawa pia wana changanya sana Lugha mbili!!! Ni hayooo tu! Hongera kwa mafanikio yakooo kijana....
Mdau hapo juu kweli hujui hata kuchambua pumba. Huyu kijana kapevuka kisawasawa. Sauti yake na mpangilio wake vinakufanya upende kazi yake. Anaijua ngenge vizuri hata kuwashinda hao ulio wataja..ukiondoa. naj ambaye anaongea British accent. Anathamini kiswahili na kazi yake ni nzuri mno.

Post a Comment